olare et laborare

Daima Kibabii Tutang'aa

Usije kadhani kuwa ni utani, Kibabii tukiisifia

Ni shule tuliyoipania, bila ya kuichukia

Sababu nayo ikiwa, Kibabii shule ya kuwania

Daima Kibabii tutang'aa, bila kudidimia

 

Masomoni tunapaa, tuukiwaachia mkiduwaa

Kiini mkiuliza, majibu twayatoa mkiyapokea

Cha mhimu ikiwa, Kibabii hatutalegea

Daima Kibabii tutang'aa, bila ya kudidimia

 

Michezoni tumebobea, ushindi tukinyakua

Washindani wakishangaa, jinsi hatufanyi mzaha

Wanabaki wakinong'onezana, Kibabii shule imara

Daima Kibabii tutang'aa, bila ya kudidimia

 

Ni bayana heshima ipo, kwani ni silaha jadidi

Bila staha ni mwanguko, ndiposa ti stakiri

Kibabii tu mfano, shule yenye ustawi

Daima Kibabii tutang'aa, bila ya kudidimia

 

Kigeni Kipkorir Emmanuel, 2S,2013

 

The Principal

Message from Principal -Mr. Mathews Naminwa

Dep. Principal Administration

Who's online

There are currently 0 users and 1 guest online.

Dep. Principal Academics